Naibu
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo
Prof.Elisante Ole Gabriel Prof.Elisante Ole Gabriel akimweleza Katibu
Tawala Mkoa wa Pwani Bi.Beatha Swai(kushoto) Mipango na mikakati
mbalimbali ya wizara katika kuhakikisha wanawaendeleza vijana na kumtaka
Katibu Tawala huyo kuendeela kuratibu shughuli za kimaendeleo kwa
vijana.
Katibu
Tawala Mkoa wa Pwani Bi.Beatha Swai Akimweleza Naibu Katibu Mkuu wa
Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Prof.Elisante Ole Gabriel
Prof.Elisante Ole Gabriel mipango mbalimbali ya kuwaendeleza vijana
kimaendeleo ikiwamo kuanzisha chombo cha kusimamia maendeleo kwa vijana
cha Pwani Youth Centre of Excellence(PYCE) wakati wa ziara ya Kuangalia
utekelezaji wa Miradi mbalimbali inayotekelezwa na vijana katika Mkoa wa
Pwani leo.
Naibu
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo
Prof.Elisante Ole Gabriel Prof.Elisante Ole Gabriel na Katibu Tawala
Mkoa wa Pwani Bi.Beatha Swai wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi
wa kutoka katika mkoa wa Pwani wakati wa ziara kutembelea Miradi
mbalimbali inayotekelezwa na vijana katika Mkoa wa Pwani leo, katika
Ofisi ya katibu Tawala Mkoani Pwani.
PICHA NA HASSAN SILAYO-MAELEZO
Tupe maoni yako


