| Barabara ya Lumumba jijini Mwanza na heka heka zake katika kipindi cha mvua. Mvua hii imenyesha leo majira ya Mchana na kupelekea shughuli za biashara katikati ya jiji la Mwanza. |
| Mifereji ya maji taka ni finyu nayo ikishinda bila kufanyiwa usafi ikiwa ni pamoja na uzibuaji hali huwa tete. |
| Adha waipatayo wafanyabiashara waliopangisha kwenye maduka ya majengo yaliyopo pembezoni kwa kituo cha daladala za Mwaloni zamani karibu na soko kuu. |
Tupe maoni yako
