banner

.

.

Friday, 3 January 2014

MENEJA WA KUNDI LA TIP TOP CONNECTION AZAWADIWA GARI NA MSANII MADEE





 Usiku wa kuamkia tarehe 1, meneja wangu Babu Tale alikuwa akiadhimisha miaka kadhaa yakuzaliwa.
Cake hiyooo
Muda wa kulishana cake
 Akimlisha keki Esma
 Mkubwa Fella akizungumza machache
 Moja ya suprise kubwa aliyoipata ni pamoja na kuzawadiwa Gari mpya na Madee, BB new model
 Madee akimkabidi funguo za Gari

Tupe maoni yako