banner

.

.

Friday, 3 January 2014

MAMBO YA MESSI: TAZAMA PICHA JINSI LIONEL MESSI ALIVYOPANDA MLIMA KILIMANJARO



Messi ni mmoja kati ya masuper star waliepanda mlima Kilimanjaro, mlima mrefu katika bara la Africa mlima unaopatikana katika ardhi ya Tanzania. Mlima kilamanjaro ni moja ya vivutio vinavyoliletea taifa letu sifa na utajiri. Kwanini tusijivunie Utanzania wetu kupitia rasilimali zetu Mungu ibariki Tanzania.
PICHA na Muhsin Mukongo.

Tupe maoni yako