Tupe maoni yako
Friday, 11 August 2017
JOSEPHU JOEL AONA MAONO..
03:18
INJILI
Mkali wa miondoko ya Gospel fleva Josep Joel amesema kuwa anaamini katika muziki anaoufanya na anaamini kuwa ipo siku muziki wake utakuja kuleta mapinduzi makubwa sana katika tasnia ya muziki wa injili kwakuwa tayari ameshaanza kuona baadhi ya dalili nzuri kwa muziki wake ikiwemo kupata wafuatiliaji wengi wa kazi zake mfano ni video ya wimbo wake wa Hata Hilo Litapita ambayo imepata kutazamwa na watu zaidi ya Elfu ishirini (20000) kupitia mtandao wa youtube.