
Mgombea Ubunge Jimbo la Kalenga kupitia CCM Godfray Mgimwa akiongea na wapigakura katika kijiji cha Udumuka kata ya Ifunda wakati wa mkutano wa kampeni huku akitoa ahadi ya kukabiliana na changamoto walizonazo.

Wananchi wa kijiji cha Udumuka wakimsikiliza mgombea Ubunge Jimbo la Kalenga Godfray Mgimwa kupitia chama chamapinduzi akimwaka sera zake kwa kutumia Ilani ya CCM.

Kampeni zikiendelea katika kijiji cha Udumuka Jimbo la Kalenga.
Tupe maoni yako
