"..Maisha
ni mapambano na katika kupambana nayo kuna vizingiti vingi tena virefu
utanue mguu kwa hatua kubwa kuvuka hivyo vizingiti, ukiamua kusonga
mbele usigeuke nyuma pambana na kilichopo mbele yako kutimiza malengo
yako katika maisha.." by - Wastara Sajuki
Tupe maoni yako
