banner

.

.

Wednesday, 26 February 2014

SHAFII DAUDA ACHUKUA FOMU YA KUWANIA NAFASI YA UENYEKITI TASWA



Shafii_1_b1162.jpg
Mwandishi wa kujitegemea Bw. Hussein Omary Kushoto akipokea fomu ya uchaguzi wa nafasi ya Uenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo (TASWA) kwa niaba ya Bw. Shafii Dauda ambaye anawania nafasi hiyo ya Uenyekiti, kulia ni Afisa Habari toka Idara ya Habari ambaye ndiye mtoaji fomu Bw.Hussein Makame.
Picha na Eliphace Marwa, Maelezo.

Tupe maoni yako