
Baadhi ya wananchi wakipata maelekezo kutoka kwa mwakilishi wa Kampuni ya Astarc Group wakati wa uzinduzi wa aina mpya ya Pikipiki ijulikanayo kwa jina la Hero Dawn leo jijini Dar es Salaam.

Mgeni rasmi katika uzinduzi wa aina mpya ya Pikipiki ijulikanayo kwa jina la Hero Dawn Bw. Subhash Patel (katikati) akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa Pikipiki hizo zinazotengenezwa na kusambazwa na kampuni ya Astarc Group leo jijini Dar es Salaam.Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Astarc Group Bw.Salil Musale na kulia ni Mkurugenzi wa Astarc Group Africa Bw. Sameer Musale.

Mgeni rasmi katika uzinduzi wa aina mpya ya Pikipiki ijulikanayo kwa jina la Hero Dawn Bw. Subhash Patel (kushoto) akiteta jambo na Afisa Uhusiano wa kampuni ya Astarc Group Bw. Mukesh Joshi leo jijini Dar es Salaam. kulia ni Mkurugenzi wa Astarc Group Africa Bw. Sameer Musale
Tupe maoni yako
