banner

.

.

Sunday, 2 February 2014

JACKSON KISWAGA ASIMIKWA RASMI KUWA MLEZI WA CHIPUKIZI WILAYA YA IRINGA VIJIJINI


Kamanda wa UVCCM mkoa wa Iringa Salim Abri Asas wa piki  kulia akimuapisha  mlezi wa  chipukizi  wilaya ya Iringa Bw Jackson Kiswaga  ambae ameteuliwa kushika nafasi hiyo leo  kamanda wa UVCCM mkoa wa Iringa Bw Asas kulia  akimvisha kofia ya ulezi wa chipukizi Bw Jackson Kiswaga  leo  Bw Kiswaga  akikabidhiwa vitendea kazi na kamanda wa UVCCM mkoa Bw Salim Asas mara baada ya  kuapishwa kuwa  mlezi wa chipukizi  wilaya ya  Iringa vijijini leo  Hapa Bw Kiswaga  akiondoka baada ya  kukabidhiwa rasmi ulezi wa chipukizi wilaya ya Iringa vijijini.

Tupe maoni yako