Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu
(Uwezeshaji na Uwekezaji). Dk. Mary Nagu (katikati) akikabidhi pikipiki
kwa moja ya vikundi 130 vya Vicoba vilivyo chini ya Taasisi ya PFT
katika hafla ya kuviongezea uwezo kwenye Ukumbi wa PTA, Sabasaba, Dar es
Salaam . Kulia ni Mbunge wa Jimbo la Temeke, ambaye pia ni Mwenyekiti
wa Taasisi hiyo. Abbas Mtemvu. (PICHA ZOTE NA KAMANDA WA MATUKIO BLOG)
Mwenyekiti wa PFT, Abbas Mtemvu akihutubia wakati wa hafla hiyo
Waziri, Dk Mary Nagu akihutubia
katika hafla hiyo, ambapo alimsifia Mtemvu kwa kuanzisha taasisi hiyo
ambayo imewasaidia kupunguza umasikini wa wananchi jimboni humo.
Mtemvu akimpatia Dk. Mary Nagu tuzo kwa ajili ya Rais Jakaya Kikwete ambaye pia ameisaidia Taasisi hiyo.
Tupe maoni yako
