![]() |
| Mmiliki wa Pantoni FB CHACHA Bw. Kitama akiwasalimia mashabiki wa Skylight Band jijini Mwanza. |
![]() |
| Huu ndio muonekano wa steji mpya ya Skylight Band iliyofungwa ndani ya Pantoni FB CHACHA. |
![]() |
| Mashabiki wa Skylight Band jijini Mwanza wakiburudika kwenye mkesha wa mwaka mpya ndani ya Pantoni FB CHAHA. |
![]() |
| Diva's wa Skylight Band wakitoa burudani kwa mashabiki wao jijini Mwanza. Kulia ni Winnie pamoja na Mary Lucos. |
![]() |
| Digjna Mbepera na Winnie wakifanya yao jukwaani. |
![]() |
| Mary Lucos katika feelings kali. |
![]() |
| Kipaji kipya ndani ya Skylight Band Hashim Donode akitoa burudani kwa mara kwanza kwa mashabiki wa bendi hiyo jijini Mwanza ndani ya Pantoni FB Chacha kwenye mkesha wa mwaka mpya. |
![]() |
| Full mzuka kwa timu nzima ya Skylight Band. |
![]() |
| Mashabiki wakisebeneka kwa raha zao ndani ya Pantoni FB CHACHA. |
![]() |
| Blogger GSENGO wa jijini Mwanza Bw. Albert Sengo akisebeneka na Sam Mapenzi kwenye mkesha wa mwaka mpya. |
![]() |
| Mzuka unapokolea. |
![]() |
| Rappa wa Skylight Band Sony Masamba alizaliwa tarehe 1/1..... Uongozi wa Skylight Band ulimfanyia bonge la Surprise.. |
![]() |
| Pichani akipongezwa na Captain Chacha pamoja na Meneja wa kinywaji cha K-Vant Bw. James (mwenye t-shirt ya mistari) ambao ni mmoja wa wadhamini waliofanikisha bata hilo. |
![]() |
| Mpango mzima wa cake ulihusika pia. |
![]() |
| Baada ya cake birthday boy aliingia kwa steji na kutoa burudani. |
![]() |
| Pichani juu na chini ni Sehemu ya umati wa wakazi wa jijini la Mwanza wakipatia huduma za vinywaji na nyama choma kwenye fukwe za Club Jembe ya jijini Mwanza. |
![]() |
| Umati wa wakazi wa jijini Mwanza ukiwa umefurika ndani ya Pantoni FB CHACHA huku Skylight Band ikitumbuiza. |
![]() |
| Steji ya kimataifa vyombo vipya kwa mara ya kwanza ndani ya jiji la Mwanza haijawahi kutokea. |
![]() |
| Skelewu....Skelewu.....Skeleleeeeeeee...!!! |
![]() |
| Sam Mapenzi sambamba na Lubea wa Skylight Band kwa pamoja wakicheza SKELEWU. |
![]() |
| Sam Mapenzi akipagawisha mashabiki wa Skylight Band. |
![]() |
| Meneja wa Skylight Band Aneth Kushaba AK47 akifanya yake huku akipewa sapoti na Mary Lucos, Hashim Donode pamoja na Digna Mbepewa. |
![]() |
| Dance if you wanna dance. |
![]() |
| Sisters wakitumia vyao tartiiiib... |
![]() |
| Vunja kabati. |
![]() |
| Burudani ikiendelea kwa mashabiki wa Skylight Band ndani ya Pantoni FB CHACHA mkesha wa mwaka mpya. |
![]() |
| Blogger Zainul Mzige akiwa na Team Skylight pamoja Dr. Sebastian Ndege a.k.a JEMBE |
Tupe maoni yako



































