banner

.

.

Thursday, 2 January 2014

EXCLUSIVE NEWS: MHE LOWASSA ANENA YA MOYONIII,



NEWWWWWWZ,, NEWWWWWZ, NEWWWWWWWWWWZ
Kile kitendawili cha miaka mingi kilichokua vichwani mwa watanzania cha kama waziri mkuu aliejiuzulu ndg Edward Ngoyai Lowassa kama atagombea Urais wa nchi hii leo kimeteguliwa na yeye mwenyewe baada ya kuweka wazi nia yake ya dhati ya kugombea nafasi hiyo leo tar. 1.1.2014 huko wilayani Monduli Arusha.

Tupe maoni yako