banner

.

.

Wednesday, 22 January 2014

SAFARI YA KUMSAFIRISHA MAMA ALIYEJIFUNGUA WATOTO WANNE INAENDELEA , SASA WAMEFIKA VWAWA MBOZI. MAMA APOKEA MSAADA ZAIDI.


 
Wa kwanza kutoka kushoto ni mmiliki wa mtandao wa Indaba Africa Blog , Dany Tweve akiwa anazungumza jambo baada ya kuchangia msaada kwa ajili ya safari hivyo, hata hivyo Ilasi FM kutoka Mbozi nao wamechangia msaada katika Safari hiyo ambayo inaongozwa na Mbeya yetu Blog.
 Mzee Richard Kamanga akiwa Amemshika mtoto huku Safari ikiendelea
 Kutoka kushoto ni Venance Matinya nae akiwa Safarini kumrejesha Mama aliyejifungua watoto wanne
 Wa kwanza kutoka kushoto ni Msimamizi Mkuu wa Mbeya yetu Blog, na Mmoja wa wakurugenzi wa Tone Multimedia Group Joseph Mwaisango akiwa ndiye kiongozi wa Msafara huo kumrudisha mama aliyejifungua watoto wanne.
chanzo: Mbeya Blog,

Tupe maoni yako