
Na.MOblog.
Mtu
kutoka ndani ya chama tawala cha serikali ya Zimbabwe amesema kuwa
kiongozi wa muda mrefu na rais wa taifa hilo la Afrika, Robert Mugabe
amezirai ghafla.
Happyton
Bonyongwe, Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kijasusi la Zimbabwe
alilipotiwa akisema kwamba ulinzi umeimarishwa katika ikulu ya Zimbabwe,
siku moja baada ya hofu ya kuzirai kwa Mugabe na hali yake yake ya
kiafya kuenea nchi nzima.(HD)
Tupe maoni yako
