banner

.

.

Monday, 6 January 2014

BREAKIN NEWZZZ:- POLISI WATUMIA MAJI KUWAONDOA WAFUASI WA CHADEMA MAHAKAM KUU LIVE!!

 
Jeshi la Polisi lawatawanya wafuasi wa Zitto Kabwe na wafuasi watiifu wa chama cha CHADEMA, waliotaka kupigana baada ya Mahakama Kuu kuhairisha kutoa maamuzi ya kesi iliyofunguliwa na Zitto dhidi ya chama chake.

Tupe maoni yako