banner

.

.

Sunday, 26 January 2014

Rais Catherine Samba-Panzi aapishwa


9E9305DD-E917-4D19-9F43-9CF4EDDAF41C w640 r1 s1 4f46d

Mashahidi wanaripoti uporaji mkubwa wa mali katika mji mkuu wa Jamhuri ya Afrika ya Kati, huku kaimu rais mpya akianza rasmi kazi yake. (HM)
Kwa mujibu wa SAuti Amerika maelfu ya watu walipora mali katika eneo linalojulikana kama PK13 lenye wakazi wengi Waislam.

Majeshi ya Rwanda yaliwafukuza waporaji, lakini uporaji ukaanza tena baada ya walinda amani hao wa Rwanda kuondoka, kulinda sherehe za kuapishwa kwa kaimu rais mpya.
Rais huyo mpya wa muda Catherine Samba-Panza, ametoa mwito wa utulivu wiki hii kabla ya sherehe za kuapishwa kwake, ambako kumefanyika katika majengo ya bunge leo Alhamis. Chanzo: voaswahili

Tupe maoni yako