banner

.

.

Sunday, 26 January 2014

MAMIA YA WATU WAFIKA NYUMBANI KWA JAMES MAGOIGWA KWA AJILI YA MSIBA WAKE ULIOTOKEA LEO BUGANDO HOSPITALI.

Watu mbalimbali wakishuhudia kile kinachoendelea katika ibada ya jioni nyumbani kwa James Magoigwa aliyefariki katika hospital y Bugando Mwanza.
                  Kwaya ya Eagt Kangae wakitoa huduma ya uimbaji katika stejiii.
                               Umeonaa mambo ya Kangae hayoooo.
                                   Staili ya ukweli kutoka kwa Vijana wa kangae.

                          Mwonekano wa nyumbani kwa Marehemu James Magoigwa.

                                        Hapa ni wakati wa Kuabudu.....





Mhubiri wa neno ambaye pia ni Mwimbaji wa Nyimbo za Injili Michael Paulo akihubiri kwa kuwafariji wafiwa katika ibada hiyo.

Tupe maoni yako