![]() |
| "Jembe we tayari ni Mwanamwanza tu kubali kataa...na ukibisha naandamana" says Bonge (L) to Dr. Sebastian Ndege (R). |
![]() |
| Bonge akikabidhi mzigo kwa Pilly Mgori ambaye ni Mkuu wa masoko Clouds Media Mwanza |
![]() |
| Bonge alimng'arisha pia mwanahabari Peter Fabian, anaye andikia gazeti la Mtanzania na moja kati ya magazeti ya ndani mkoani Mwanza linalojulikana kama Mzawa. |
![]() |
| Bonge na Mwenyekiti wa Mwanza Kwanza ambaye pia ni mtangazaji wa redio rafiki Passion Fm Mwanza, Philbert Kabago |
![]() |
| Safari ya Bonge kushow love na miaka 14 ya Clouds Media ilijikita Pasiansi kwa madereva wa bodaboda. |
![]() |
| Unamjua mdogo wake na PNC? Basi zingatia picha hii kwa makiiiiiini utang'amua.....!! |
![]() |
| "Lazima tung'ae" |
![]() |
| "88.1 Ni masafa ya burudani pande hizi, now ni tyme ya kurejea town. huku tukisikiliza redio ya watu Clouds 14" |
![]() |
| Dreva tax Victor Magambo (kulia) akikamata yake. |
![]() |
| Mpiga picha maarufu wa jijini Mwanza aliyeweka kambi katika kipitashoto cha kitalii cha Samaki aliyesikika kupitia Jahazi la Clouds Fm Joseph Pima naye alihusika na shangwe za Clouds 14. |
![]() |
| Madreva taxi kituo cha Tanesco zamani. |
![]() |
| Mara nkabaaaaaa....!!! Bonge akawakakamatisha mihuri ya 88.1. |
![]() |
| Blogger Albert G. Sengo (L) na Bonge (R). |
![]() |
| 88.1 ilihusishwa pia pande za 'reception' at Gold Crest Mwanza... |
![]() |
| Hadi mida ya Night kali na mmoja kati ya wadau nambari moko wa Clouds Fm Mr. Mgulu. |
Tupe maoni yako

















