banner

.

.

Saturday 22 July 2017

DYABALA KUMLITHI NEYMAR

Paulo Dybala ni miongoni mwa wachezaji Barcelona inaotaka kuwasajili iwapo Neymar ataondoka kujiunga na PSG, lakini watalazimika kutumia kitita cha euro milioni 120 kwa mujibu wa  Mundo Deportivo .
Neymar anaweza kujiunga na klabu hiyo ya Ligue 1 ambao wanajipanga kutoa euro milioni 222 kumtoa Mbrazili huyo Camp Nou, kwa maana hiyo Barca watahitaji mchezaji mpya wa kushirikiana na Suarez na Messi.

Tupe maoni yako