banner

.

.

Friday, 28 March 2014

TASWIRA ZA KAMPENI ZA UCHAGUZI MDOGO WA UBUNGE CHALINZE



Mgombea nafasi ya Ubunge Jimbo la Chalinze kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA ndugu Mathayo Mang'unda Torongey akiendelea na mikutano ya Kampeni Jimboni Chalinze.

Tupe maoni yako