![]() |
| Wadau mbalimbali wameonekana wakisota leo kuzisaka huduma na wasifanikiwe kuzipata. |
![]() |
| Huduma za vyakula, pembejeo kote hazikupatikana kwa siku ya leo. |
![]() |
| Hali tete kwa biashara bidhaa zote. |
![]() |
| Mitaa hii huwa na purukushani nyingi za hapa na pale lakini leo kweupeeee.... |
![]() |
| Mtaa huu unao unga barabara za Lumumba, mitaa ya Shinyanga Hotel huwa na pilika za haja lakini leo pakavu mithili ya uwanja wa kandanda. |
![]() |
| Ni wauza vocha na vyakula vidogo vidogo ndio wamebakia ingawa nao wanalalama kuwa hakuna wateja. |
![]() |
| vichochoro vya maduka nako hola.. |
![]() |
| Ni saa tisa alasili lakini hali ni tete hakuna huduma. |
![]() |
| Hapa napo leo ni pakavu. |
![]() |
| Spea za magari, vifaa vya ujenzi, bidhaa za simu zimeadimika hii leo. |
![]() |
| Mtaa wa msikiti wa ijumaa jijini Mwanza. |
![]() |
| Mtaa wa Nyerere jijini Mwanza. |
![]() |
| Mitaa ya barabara ya posta to Mwanza Hotel maduka yote ya wafanya biashra yalikuwa yamepigwa makufuli kufuatia mgomo huo ambao bado haijajulikana kuwa utakoma lini. |
Tupe maoni yako















