wadau wa Taasisi mbalimbali wakisikiliza na kutoa maoni ya Rasimu ya kwanza ya mkakati wa Mawasiliano ya Mazingira Endelevu wa Ukuaji wa Uchumi na Kupunguza Umaskini Tanzania. . katika Ukumbi wa NIMRI

Mkurugenzi Msaidi wa Ofis ya Makamu wa Raisi Idara ya Mazingira Bi Magdalena J.Mtenga (wa kwanza kushoto) akifunguwa rasmi Semina ya Rasimu ya kwanza ya Mkakati wa Mawasiliano ya Mazingira Endelevu wa ukuaji wa u chumi na kupunguza Umaskini Tanzania. na kulia ni Alhaji.Selemani Kisimbo ni Kaimu Mkurungezi wa Idara ya Mazingira na wadau wa Taasisi mbalimbali.

Mkurugenzi Msaidi wa Ofis ya Makamu wa Raisi Idara ya Mazingira Bi Magdalena J.Mtenga akiwa kwenye picha ya pamoja na wadau wa Taasisi mbalimbali katika Semina ya kutoa maoni ya Rasimu ya kwanza ya Mkakati wa Mawasiliano ya Mazingira Endelevu wa Ukuaji wa Uchumi na Kupunguza Umaskini Tanzania .katika Ukumbi wa NIMRI.
Tupe maoni yako

