![]() |
| Sasa waweza kutinga Skylight Beach Resort Malimbe kwa njia ya maji. |
![]() |
| Njiani ni full utalii. |
![]() |
| Kwa mbaaaliii kiwanja chaonekana. |
![]() |
| Heee ni paleeee....!! |
![]() |
| Kula upepo muhimu. |
![]() |
| Ukila upepo mwanana Eh bana eeeh... Bustani hii ya kitalii utaimiliki kuanzia Valentine hii. |
![]() |
| Hapa pata badilika zaidi ya unavyo paona vuta subira picha nyingi zitaendelea kumiminika hapa bloguni. |
![]() |
| Another side ya Skylight Beach Resort Malimbe Mwanza. |
![]() |
| Chillin with my broo Nsimbo Jembe. |
![]() |
| "Chekshia paleeee!! |
![]() |
| Thats Y we call it Rock City. FULLMOON PARTY at Skylight Beach Resort in Malimbe Mwanza VALENTINE'S DAY 14/FEB/2014 uSIKoSe!! |
Tupe maoni yako












