Ndugu zake na marehemu James Magweiga wakiweka mambo sawa kwa ajili ya watu kuanza kupita ili kutoa heshima zao za mwisho
Mdogo wake marehemu James Magweiga aliyesima akiangalia akisikiliza utaratibu utakaotumiwa wakati watu wakitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu.
Msemaji wa famili akisoma historia fupi ya marehemu James Magweiga mbele ya umati mkubwa wa watu waliofika kuuaga mwili wa marehemu kwa ajili ya maziko.
Msemaji wa watuma salaam kanda yaa ziwa Mr. Balina akitoa mchango wa rambirambi kwa mfiwa mama James Magweiga.
Msemaji wa kikundi cha Furaha nae hakuwa nyuma kutoa rambirambi zao mbele kwa mfiwa ambae nae alikuwa mwanachama.
Mmoja kati ya ndugu wa marehemu James Magweiga akitoa shukrani kwa watu wote waliofika katika msiba wa ndugu yao na pia wote waliotoa michango yao ya hali na mali kufanikisha ratiba nzima.
Baadhi wa waimbaji wenzake na mke wa marehemu James Magweiga wakiangalia matukio yanavyoendelea katika zoezi la kuuaga mwili wa marehemu James Magweiga nyumbani kwake Kangae Jijini Mwanza.
Mwenyekiti wa mtaa aliyshika microhone akioa shukrani kwa wanakijiji na watu wote walioshiriki zoezi la kuuaga mwili wa marehemu.
Mwili wa Marehemu James Magweiga kama unavyonekana kwenye Jeneza.
Msururu wa kina mama nao wakipita kutoa heshima zao mbele ya mwili wa marehemu James Magweiga.
Wanazengo nao walijitokeza kushuhudia zoezi a kuuaga mwili wa marehemu James Magweiga katika zoezi kuuaga mwili wa marehemu.
Majirani zake na marehemu James Magweiga wakisikiliza ibada ya kuuaga mwili wa marehemu kwa ajili ya mazishi yatakayofanyika Kiabakari Bunda Mkoani Mara.
Mtuma salaam kutoka Mkoa wa Geita Mr. Balina mwenye tisheti ya michirizi akipita mbele ya mwili wa marehemu James Magweiga kutoa heshima za mwisho.
Hawa ni baadhi ya wanazengo wanaoishi karibu na James Magweiga wakipita nao kutoa heshima za mwisho mbele ya jeneza la James Magweiga.
Msafara wa upande wa kina baba ukiendelea kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu James Magweiga.
Baadhi ya wafanyakazi wenzake na marehemu James Magweiga nao wakipita kutoka heshima za mwisho kwenye jeneza kama wanavyoonekana mbele ya kamera wa www.matukiomedia.blogspot.com.
Mamake na marehemu James Magweiga akipita huku mbele ya jeneza la mwanae huku akiwa anapewa sapoti na ndugu zake ili kutoa heshima za mwisho.
Mdogo wake marehemu aliyetangulia akilia wakati wa zoezi la kuuaga mwili wa kakake James Magweiga.
Mmoja kati wa watuma salaam mkongwe Susan wa Ghana a.k.a Bibi Jukis mwenye tisheti ya blue akitoa nae heshima za mwisho kwa marehemu.
Wakati wa majonzi ukiendelea na hapa kina mama wakiwa na sura za maumivu kama kamera ya www.matukiomediablogspot.com.
Msafara wa upande wa kina mama wakiaga wakipita mbele ya jeneza la marehemu kuaga mwili wa marehemu.
Mmoja wa wanafamilia akiwa amebebwa baada ya kuanguka na kuzirai wakti wa zoezi la kumuaga bwana James Magweiga.
Hawa ni baadhi wa marafiki zake na mke wa marehemu James Magweiga na wakiwa na huzuni kwa kuondokewa na shemeji yao kipenzi.
Mtoto wa marehamu Japhet nae hakuwa nyuma katika kuangalia kinachoendelea katika msiba wa babake aliyefariki usiku wa kuamkia Jumapili katika hospitali ya Bugando.
Mwenyekiti wa Umoja wa Watuma salaam kanda ya ziwa bwana Onesmo John akitoa shukrani kwa watuma salaam jinsi walivyohusika kwa msiba wa mme wa mwanachama.
Msafara wa Magari kuanza safari kuelekea Kiabakari kwa ajili ya mazishi ya bwana James Magweiga.
Tupe maoni yako



























