Uongozi wa Kundi la The Great Zone Entertainment wakijadiliana kuhusu kuanza mazoezi ya kushuti filamu ya Man Down.
Manager wa The Great Zone Entertainment Albert Sengo akizungumza na waandishi wa habari juu ya mikakati yake ya kuinua vipaji vya wasanii mbalimbali katika jiji la Mwanza na Kanda ya Ziwa.
Mojawapo ya Clip ya Filamu ya Man Down ya Kundi la The Great Zone Entertainment, msanii unaowaona na Alex Thomas na Janet Emmanuel. Nyuma ni Marryane Migire na Alfred Jacob.
Ili kutimiza ndoto ya kuibua vipaji kuinua na kuviendeleza vipaji vya wasanii wa tasnia ya filamu hapa Mwanza, hapa unaniona na vijana wangu wa Kundi la The Great Zone Entertainment tukiwa kwa bajaj tukitoka kushuti filamu..
Hapa ni katika kanisa la Gilgal Christian Worshipping Centre Pasiansi chini yake Bishop Eliabu Sentoz katika mojawapo wa ibada ya Jumapili iliyofanyika katika kanisa hilo.
Rievival Mission band a.k.a Uzao wa Daudi watoto wa Mungu kutoka kanisa la Highway of Holliness Cathedral Ilemela wakiwajibika kwenye steji katika moja ya matamasha katika uwanja wa CCM Kirumba Mwanza.
Mchungaji Mtarajiwa Emmanuel Mgaya a.k.a Masanja Mkandamizaji akiimba katika msiba wa Mzee James Bukumbi babake na Mkurugenzi wa Global Publishares James Shigongo nyumbani kwake Mecco Nyakato Mwanza.
Tupe maoni yako







