Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,akisalimiana na Rais Mstaafu wa Tanzania Mzee Ali Hassan
Mwinyi,alipohudhuria katika Uzinduzi wa Taasisi ya Mwanaharakati Bibi
Siti Binti Saad,katika ukumbi wa Salama Hall Bwawani Hotel jana,ikiwa ni
miongoni mwa shamra shamra za miaka 50 ya mapinduzi Ya zanzibar
(katikati) Bibi Nasra Mohamed Halal Mwenyekiti wa Taasisi. [Picha na
Ramadhan Othman,Ikulu.]
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,akizungumza na Viongozi na wananchi wakati alipozindua Taasisi ya
Mwanaharakati Bibi Siti Binti Saad katika ukumbi wa Salama Hall Bwawani
Hotel Mjini Unguja jana,ikiwa ni sehemu ya shamra shamra za miaka 50 ya
Mapinduzi Zanzibar,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Watoto
wakiimba nyimbo mbali mbali za michezo ya kizamani ikiwemo nyimbo ya
ukuti,wakati wa Uzinduzi wa Taasisi ya Mwanaharakati Bibi Siti Binti
Saad,ukumbi wa Salama Hall Bwawani Hotel Mjini Unguja jana,katika shamra
shamra za miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar,[Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu.]
Wananchi
waliohuduria katika uzinduzi wa Taasisi ya Mwanaharakati Bibi Siti
Binti Saad katika ukumbi wa Salama Hall Bwawani Hotel Mjini Unguja
jana, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akitoa hutuba yake ikiwa ni sehemu ya
shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar,[Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu.]
Wazanzibari wanaoishi nje ya nchi ni miongoni mwa Wananchi waliohuduria
katika uzinduzi wa Taasisi ya Mwanaharakati Bibi Siti Binti Saad
katika ukumbi wa Salama Hall Bwawani Hotel Mjini Unguja jana,taasisi
hiyo iliyofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,ikiwa ni sehemu ya shamra shamra za
miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) Rais Mstaafu wa Tanzania Mzee Ali Hassan Mwinyi,(kushoto)
akiwa mlezi wa Taasisi ya Mwanaharakati Bibi Siti Binti Saad akifuatiwa
na Mwenyekiti wake Bibi Nasra Mohamed Halal, wengine kulia Makamo wa
Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi na Waziri wa
Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo Said Ali Mbarouk,wakiwa katika
Uzinduzi wa Taasisi hiyo iliyozinduliwa jana katika ukumbi wa Salama
Hall Bwawani Hote, ikiwa ni sehemu ya shamra shamra za miaka 50 ya
Mapinduzi Zanzibar,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Prof
Laura Fair, aliyefanya utafiti na kutunga kitabu cha wa mwanaharakati
Bibi Siti Binti Saad,akizindua kitabu hicho wakati wa uzinduzi wa
Taasisi ya mwanaharakati huyo iliofanya jana na Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shei,(hayupopichani)
katika ukumbi wa Salama Hall Bwawani Hotel mjini Unguja,ikiwa ni sehemu
ya shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar,[Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu.]
Historia
ya Harakati za wanawake iliyotolewa na Dk.Amina Ameir,mbele ya mgeni
rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein,wakati wa uzinduzi wa Taasisi ya Mwanaharakati Bibi Siti
Binti Saad katika ukumbi wa Salama Hall Bwawani Hotel Mjini Unguja
jana,ikiwa ni sehemu ya shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi
Zanzibar,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,akisalimiana na kumpongeza Dk.Amina Ameir,baada ya kutoa Historia
ya Harakati za wanawake katika uzinduzi wa Taasisi ya Mwanaharakati Bibi
Siti Binti Saad katika ukumbi wa Salama Hall Bwawani Hotel Mjini
Unguja jana,ikiwa ni sehemu ya shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi
Zanzibar,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,pamoja na Viongozi wengine wakiangalia picha ya Bibi Siti Binti
Saad,iliyokuwa ikipigwa mnada katika uzinduzi wa Taasisi ya
Mwanaharakati Bibi Siti Binti Saad katika ukumbi wa Salama Hall Bwawani
Hotel Mjini Unguja jana,ikiwa ni sehemu ya shamra shamra za miaka 50 ya
Mapinduzi Zanzibar,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Mwenyekiti
wa Taasisi ya Mwanaharakati Bibi Siti Binti Saa,Bibi Nasra Mohamed
Hilal,alipomkaribisha mlezi wa taasisi hiyo Rais Mstaafu wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mzee Ali Hassan Mwinyi,kuzungumza machache ili nae
amkaribishe mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,kutoa hutuba yake na kuizindua rasmi
katika ukumbi wa Salama Hall Bwawani Hotel Mjini Unguja jana,ikiwa ni
sehemu ya shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar,[Picha na

Ramadhan Othman,Ikulu.]Tupe maoni yako