![]() |
| Ni salaam mchezo wa ufunguzi wa ligi soka daraja la nne baina ya Chipukizi na Alliance Academy uliomalizika kwa Alliance kuibuka na ushindi wa bao 2-1. |
![]() |
| Patashika dimbani mchezo wa ufunguzi wa ligi soka daraja la nne baina ya Chipukizi (blue) na Alliance Academy (yelow) uliomalizika kwa Alliance kuibuka na ushindi wa bao 2-1. |

![]() |
| Wadu wa soka na kona yao. |
Tupe maoni yako











