Naibu
Waziri wa Fedha Mh;Mwigulu Nchemba hii leo amekutana na Wafanyabiashara
wa Mkoa wa Njombe kuzungumza nao Kuhusu Wajibu wao wa Kulipa
Kodi,Matatizo wanayokumbana nao kwenye Biashara na namna ya Kuinua
Uchumi wao.
Sehemu
ya Wafanyabiashara waliofika kwenye Ukumbi wa Turbo hapa Njombe mjini
kwaajili ya Kuzungumza na Naibu waziri wa Fedha Mh;Mwigulu Nchemba.Tupe maoni yako
