banner

.

.

Tuesday, 21 January 2014

MSHINDI WA BSS 2013 EMMANUEL MSUYA AWEKA WAZI MATUMIZI YA MILIONI 50 ALIYOIPATA KAMA MSHINDI.. JIONEEE MAMBOZ.

BAADA YA KUSHINDA SHILLINGI MILLIONI 50 AT BONGO STAR SEARCH TIZAMA EMMANUEL MSUYA ALICHOFANYA NA HIZO MBONGO LIVE!!

. Cha kwanza Msuya amenunua Nyumba , Gari pia amefanikiwa kufungua Studio ambavyo vyote hivyo vipo mkoani musoma.
Madam-Rita-Copyright-www-vibe-co-tz
360ae04a829b11e398d812db6133fe66_8
BSS Winner nyumba nje www-vibe-co-tz studio emmanuel Msuya www-vibe-co-tz

Hii maandhari ya studio aliyoifungua Mshindi wa BSS 2013 Emmanuel Msuya mjini Musoma.

Tupe maoni yako