Msanii Rose Kasiga a.ka.a Rahabu katika moja kati ya action ndani ya Filamu Mpya ya Rafael ambayo itatoka muda si mrefu sokoni.
Msanii Dr. Theresia Mabula a.k.a Nesi Jane katika moja kati ya pozi wakati wa shutingi filamu ya Rafael. Action hii utaipata ndani ya pishi tamu lijalo siku si nyingi.
Msanii Fabian Fanuel a.k.a Dr Japhet nae akiwa amevaa uhusika kwa Kidaktari katika shutingi ya Filamu ya Rafael. Ango hii kutana nayo ndani ya Muvi lako mpya la Rafael soon kwa sokoni.
Steringi wa Muvi ya Rafael Masele Malekela a.k.a Rachael akiwa katika pozi lake, mapozi kama haya utayapata ndani ya Picha lako mpya la Rafael ambalo ni moto wa kuotea mbali. Muda si muda linaingia ndani ya soko na usikubali likupite.
Tupe maoni yako




