banner

.

.

Sunday, 22 December 2013

PICHA ZA MAZISHI ZA MAMA YAKE BISHOP LAURENT MAGIKE AITWAE LEAH JOEL

Bishop Lurent Magike alievaa suti nyeusi akiangalia kwa makini mambo yanyoendelea.

                           Waombolezaji katika msiba huo
 Askofu Charles Sekelwa akitoa heshima zake mbele jeneza la marahemu Leah


                    Askofu Zenobius Isaya akiongoza mazishi.

 Mama Diana Mwakasege akitoa salaam zake kwa watu waliofika katika msiba huo.



Tupe maoni yako