Tupe maoni yako
Friday, 27 December 2013
NAIBU WAZIRI JANUARY MAKAMBA ATOA SOMO LA MSINGI KWA WAENDESHA BODABODA WOTE KATIKA JIJI LA MWANZA KUHUSIANA NA USALAMA BARABARANI..
03:13
JAMII
Mheshimiwa January Makamba Naibu Waziri wa Mawasialiano Sayansi na Teknolojia akizungumza katika Semina elekezi kuhusu usalama ya barabarani kwa waendesha bodaboda wote katika Jiji la Mwanza.
