Timu ya Mkoa wa Mwanza
Makapteini wa Timu zote Mbili.
Wakipeana Mikono wachezaji
Mr Charles Shaji mgeni rasmi wa mechi akiwasalimia wachezaji wa timu zote mbili.
Anaitwa Jaluo wa Jaluoo.
Bwana kila mmoja acheze vizuriii.
![]() |
Mr Shaji akisalimiana na Benchi la ufundi wa timu zote mbili.
|
![]() |
Sala kabla ya mechii. |
Staili ya mnatooooo waonaa.
Tupe maoni yako