banner

.

.

Wednesday, 2 April 2014

JIANDAE KWA AJILI YA SIKUKUU YA PASAKA MSIMU HUU NDANI YA CCM KIRUMBA MWANZA TR 20/4/2014 NA 21/4/2014


KAA TAYARI KWA UJIO WA PASAKA GOSPEL FESTIVAL 2014 WAKAZI WA MWANZA NA KANDA YA ZIWA JIWEKE TAYARI KWA TAMASHA HILI KUBWAAAAAAA.
TR 20/4/2014 JUMAPILI NI TAMASHA NA UZINDUZI WA FILAMU YA KIKRISTO IITWAYO RAFAEL
TR 21/4/2014 JUMATATU TAMASHA LA GOSPEL CHOIRS COMPETITION, KWAYA KUMI KALI ZA JIJI LA MWANZA KUCHUANA KUMPATA NAMBA MOJA HADI KUMI.
KIINGILIO 3000/= WAKUBWA
                1000/= WATOTO
VENUE: CCM KIRUMBA MWANZA.
CHINI YA THE GREAT ZONE ENTERTAINMENT, QUALITY IS OUR PRODUCT.

Tupe maoni yako