banner

.

.

Friday, 4 April 2014

COCA COLA WAKUBALI KUWA WADHAMINI RASMI YA TAMASHA LA PASAKA GOSPEL 2014 NDANI YA CCM KIRUMBA 2014.



Wanaitwa Tumani Anglican Choir Kutoka Igoma, Moja kati ya kwaya ambazo zitachuana jumatatu ya Pasaka ndani ya Tamasha la Pasaka Gospel Festival 2014 chini ya Brand yake ya Gospel Choirs Competition 2014 tr 21/4/2014 CCM Kirumba Mwanza, kuanzia saa 8 hadi 12 jioni. 
Karibu ujionee mshindi akijinyakulia BAJAJ Mpya..... Kumbuka ziki kwaya zipo kwaya kumi kali jijini Mwanza. Nani kuibuka mshindiiii.

Tupe maoni yako