Kikosi kazi cha Skylight Band kikisebeneka jukwaani. |
Hashim Donode wa Skylight Band (katikati) akitoa burudani kwa wapenzi wa bendi hiyo ndani ya kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar. Kulia ni Winfrida Richard na kushoto ni Digna Mbepera. |
Mashabiki wa Skylight Band wakicheza miondoko ya "Yachuma chuma" kwenye show iliyobamba vilivyo ndani ya kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar. |
Aneth Kusbaha AK47 na Winfrida Richard wakitoa burudani kwa mashabiki wa Skylight Band. |
Katika kupata ladha nzuri ya muziki wa Skylight Band vijana hawa ndio wanahusika asilimia 100. Pichani juu ni Moses na chini ni Athumani pamoja na Idrissa wakinya yao. |
Umati wa wadau wa Skylight Band wakiburudika na muziki wa Bendi hiyo Ijumaa iliyopita ndani ya kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar. |
Tupe maoni yako