Akizungumza leo na waandishi wa habari ofisi za CCM Mkoa wa Mwanza, Nape alisema kuwa imefika wakati sasa vyombo vya dola kuchukua hatua kali zaidi sanjari na sheria kuchukua mkondo wake kwa wanaofanya vitendo vya uvunjifu wa amani na kufanya mauaji na ukatili kwa wananchi kwa kisingizio cha siasa.
Sehemu ya waandishi wa habari. |
Je CCM haina Imani na Jeshi la na vyombo vyake vingine vya dola?
Tupe maoni yako