banner

.

.

Friday, 7 February 2014

MAMBO YAZIDI KUIVA KATIKA KIWANJA CHA MARAHA SKYLIGHT BEACH RESORT MALIMBE.....


Sasa waweza kutinga Skylight Beach Resort Malimbe kwa njia ya maji.
Njiani ni full utalii.
Kwa mbaaaliii kiwanja chaonekana.
Heee ni paleeee....!!
Kula upepo muhimu.
Ukila upepo mwanana Eh bana eeeh... Bustani hii ya kitalii utaimiliki kuanzia Valentine hii.
Hapa pata badilika zaidi ya unavyo paona vuta subira picha nyingi zitaendelea kumiminika hapa bloguni.
Another side ya Skylight Beach Resort Malimbe Mwanza.
Chillin with my broo Nsimbo Jembe.


"Chekshia paleeee!!
Thats Y we call it Rock City.
FULLMOON PARTY at Skylight Beach Resort in Malimbe Mwanza
VALENTINE'S DAY 14/FEB/2014
uSIKoSe!!

Tupe maoni yako