banner

.

.

Saturday, 15 February 2014

MAKAMU WA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA ALIPO TEMBELEA MAONYESHO YA UWEKEZAJI MWANZA.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Mohamed Gharib Bilal akimpa mkono wa pongezi Afisa Habari wa Jiji la Mwanza Joseph Mlinzi mara baada ya kupata ufafanuzi wa kina na juhudi za halmashauri kuendelea na mikakati ya kulinda mazingira na kuboresha usafi. 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Mohamed Gharib Bilal ndani ya banda la TANAPA.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Mohamed Gharib Bilal akipata maelezo ndani ya banda la Benki ya Standard Charterd .
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Mohamed Gharib Bilal akipata habari za wawekezaji wa zao la Samaki kiwanda cha VIC FISH Mwanza.

Tupe maoni yako