Naibu Waziri wa Mawasiliano Sayansi na Teknolojia Ndugu January Makamba akiondoka nje ya ofisi za Makao Makuu ya Chama Cha Mapinduzi baada ya kumaliza kuhojiwa kwa zaidi ya saa moja na nusu na Kamati Ndogo ya Maadili.Picha na Adam Mzee |
Waziri wa Nchi ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu) Ndugu Stephen Wassira akzungumza na waandishi wa habari baada ya kuhojiwa na kamati ya maadili ambapo alisema hakukuwa na tuhuma zozote zaidi ya mashauriano na alisisitiza yeye kamwe hawezi shiriki kukivunja chama. |
Tupe maoni yako