banner

.

.

Thursday, 13 February 2014

DR GHALIB BILAL AFUNGUA KONGAMANO LA SIKU TATU LA UWEKEZAJI LILILOANDALIWA NA MIKOA 6 YA KANDA YA ZIWA.

MAKAMU wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilal amesema kuwa Serikali ya awamu ya nne itaendeela kujenga mazingira mazuri ya uwekezaji hapa nchini kwa lengo la kuvutia wawekezaji wa ndani na nje ya nchi.
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Everist Ndikilo alisema kuwa wakuu wa mikoa wa Mikoa ya Kanda ya ziwa waliafikiana kufanya kongamano la kuvutia wawekezaji na kueleza kuwa kongamano hilo ni la aina yake kufanyika hapa nchini kwa kuandaliwa na mikoa sita kwa pamoja.

Awali Mwenyekiti wa Kongamano hilo Waziri wa zamani katika Wizara mbalimbali Sir George Kahama,aliitaka Serikali kuhakikisha inakamilisha ujenzi wa uwanja wa ndege wa Mwanza kwa ajili ya kuunganisha mikoa ya kanda ya ziwa na wawekezaji toka ndani na nje ya nchi.








Tupe maoni yako