banner

.

.

Thursday, 13 February 2014

Rais Museveni kuwania tena urais mwaka 2016.

museveni_6bd12.jpg
                                          Rais Yoweri Museveni.
Wabunge wa chama tawala nchini Uganda kwa kauli moja wanamtaka kiongozi wa chama chao ambaye pia ni rais wa nchi hiyo Rais Yoweri Kaguta Museveni kuwania urais tena kwenye uchaguzi mkuu utakaofanyika mwaka wa 2016.
Chanzo, dw.de-swahili

Tupe maoni yako