banner

.

.

Saturday, 22 February 2014

CHAMA CHA CHADEMA WAANZA KAMPENI ZA KUWANIA UBUNGE JIMBO LA KALENGA.



makumbusho_a0aac.jpg
Viongozi na wanachama wa CHADEMA wakielekea kwenye makumbusho ya Chifu mkwawa kabla ya kuanza kampeni hizo
mvua_6aa63.jpg
Hapa wakitoka kwenye Makumbusho ya Chifu Mkwawa huku hali ya hewa ikiwa ni ya ubishi kutokana na mvua kubwa kunyesha
kumnadii_f8eb3.jpg
Mgombea wa Ubunge kupitia chama cha CHADEMA akinadiwa na Katibu mkuu wa chama hicho Dr. W. Slaa wakati wa kampeni hizo zilizoanza hii leo katika jimbo la Kalenga

Tupe maoni yako