banner

.

.

Sunday, 23 February 2014

WASANII DIAMOND, MADEE, CHEGE NA TEMBA WAFANYA KWELI TAMASHA LA COCA COLA ZOO NDANI YA MWANZA.



Diamond Platnum him self  akionyesha style yake ya ngololo inavyochezwa mbele ya umati wa mashabiki waliofurika vyakutosha kwenye uwanja wa Furahisha Kirumba jijini Mwanza ambapo msanii huyo alipiga bonge la show.
Toka kwa mashabiki hadi kwenye stage.
Burudani mwanzo mwisho.
ze nyomi tamashani.
Madee katika stage ni nowma.
Madee na mistari yake akiburudisha mashabiki waliofurika kwa wingi uwanja wa Furahisha Kirumba jijini Mwanza.













Tupe maoni yako