banner

.

.

Saturday, 22 February 2014

TAWI JIPYA LA HOME SHOPPING CENTRE LAFUNGULIWA RASMI MWANZA.



Kaimu Kamanda wa Polisi mkoa wa mwanza Christopher Fuime (kushoto) akifanya matembezi katika duka la Home Shopping Centre kujionea uwekezaji uliofanyika sambamba na mali za majumbani zinazo patikana dukani humo, kulia ni Mkurugenzi wa Home Shopping Centre Ahmed Ally Said.
Ni baadhi ya bidhaa za makapeti zinazo patikana ndani ya Home Shopping Centre
Kaimu Kamanda wa Polisi mkoa wa mwanza Christopher Fuime (kushoto) akifanya matembezi katika duka la Home Shopping Centre kujionea uwekezaji uliofanyika sambamba na mali za majumbani zinazo patikana dukani humo, kulia ni Mkurugenzi wa Home Shopping Centre Ahmed Ally Said.
Pajama kwa ajili ya watu warika zote. 
Mavazi ya watoto na bidhaa nyingi full kiwango ziko hapa.
Mataulo, mashuka na bidhaa nyingi nyingi zenye viwango full cotton sasa zinapatikana Home Shopping Centre Mwanza.
Vitanda vya kisasa, makabati ya kileo, mashuka, mapazia na thamani mbalimbali za ndani ziko hapa Home Shopping Centre Mwanza.
Makochi na furniture za aina zote utapata.
Vitanda.
Mashuka, mapazia, na kadhalika.
Furniture full house.
Makapeti ya sampuli zote.
Litapendezesha ama nyumba yako au ofisi yako.
Home Shopping Centre inaibadilisha sebule yako.
Bidhaa zote.
Kaimu Kamanda wa Polisi mkoa wa mwanza Christopher Fuime (kushoto) ameusifu uwekezaji huo kwa kusema kuwa utawarahisishia wakazi wa Mwanza kuondokana na adha ya kutembea maduka mengi wakipoteza rasilimali muda kutafuta bidhaa kukamilisha manunuzi, smabamba na kuwapatia bidhaa zinazodumu zenye viwango. Hakika Home Shopping Centre imenuia kubadilisha mazingira ya nyumba za wakazi wa Mwanza.
Mkurugenzi wa Home Shopping Centre Ahmed Ally Said akizungumza na waandishi wa habari jijini Mwanza kuhusiana na uwekezaji wake uliofanyika.
Akijiamini kwa kuwekeza katika bidhaa bora pichani mbele ya kamera ni Mkurugenzi wa Home Shopping Centre Ahmed Ally Said.
Bidhaa madhubuti.
Hapo vipi?
Vipi sebule yako ikiwa na maandari kama hii?
Mashuka na vyombo vya majumbani kwa bei nafuu kabisa.
Home Shopping Centre Mwanza inapatikana barabara ya Makongoro kribu na daraja la Mto Mirongo karibu na ofisi za Mamlaka ya Maji safi na maji taka jijini Mwanza (MWAUWASA)

Tupe maoni yako