Tanzania
imeingia katika huzuni kubwa baada ya kuwapoteza Watoto ambao ni wanafunzi wa Shule ya msingi ya LUCKY VICENT iliyopo katika Wilaya ya Karatu Mkoani Arusha,ajali
hiyo imepelekea vifo vya Watoto 32,Walimu 2 na Dereva 1.
Ndugu
Mtanzania tushilikiane katika kuziombea
Familia zote zilizofikwa na msiba huu kwani msiba huu ni wetu sote sisi kama
Watanzania.
MUNGU AZILAZE ROHO ZA MAREHEMU MAHALI
PEMA PEPONI AMEN.
Tupe maoni yako