banner

.

.

Monday, 7 November 2016

DC NYAMAGANA AFURAHISHWA NA KONGAMANO LA WANAWAKE JIJINI


Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza,Mary Tesha, alipongeza kongamano hilo kutokana na elimu inayotolewa katika kumhamasisha mwanamke kimaendeleo ambapo aliwataka wanawake kuendelea kujiunga na vikundi vya kimaendeleo ili kuhakikisha wananufaika na mikopo kutoka halmashauri husika inayotokana na asilimia tano ya mapato yake pamoja na ahadi ya Rais Magufuli ya kutoa milioni 50 kwa kila kijiji/mitaa.
Bi.Chau akiwafunda wanawake Jijini Mwanza
Mkandarasi Maida Waziri ambaye ni mkandarasi bora mwanamke nchini tangu mwaka 2011 hadi 2015, akiwa pia ni Mkurugenzi wa kamppuni tano, akiwahamasissha wanawake Jijini Mwanza katika suala la kimaendeleo.
Mchekeshaji Katarina Wa Karatu akinogesha Kongamano la Wanawake Jijini Mwanza
Mwimbaji Zarry Edosha akitumbuiza
Mwimbaji wa muziki wa taarabu Isha Mashauzi akitumbuiza
Taswira ukumbini
Mc Zipompa (kushoto) na Mboni Masimba (kulia) pamoja na wazungumzaji wengine
Wanawake Jijini Mwanza wakifurahia Kongamano la Sauti ya Mwanamke Jijini Mwanza
Mtangazaji wa Lake Fm, Carol Mwaipungu pamoja na wanawake wengine wakiwa wakifurahia Kongamano la Sauti ya Mwanamke Jijini Mwanza
Kongamano la Sauti ya Mwanamke Jijini Mwanza
Kongamano la Sauti ya Mwanamke Jijini Mwanza
Wasaa wa chakula cha usiku
Chakula kilipikwa kwa ustadi murua
Kwa buku 40 tu wanawake walipata elimu, burudani, chakula pamoja na vinywaji
Kwa buku 40 tu wanawake walipata elimu, burudani, chakula pamoja na vinywaji
Kwa buku 40 tu wanawake walipata elimu, burudani, chakula pamoja na vinywaji
Mgeni Rasmi (DC Nyamagana, wa tatu kulia) akiwa na timu ya Kongamano la Sauti ya Mwanamke Jijini Mwanza
Mboni Masimba (kushoto) akiwa na wadau wake
Mboni Masimba (kulia) akiwa na wadau wake
Zarry Edosha (kushoto) na George Binagi-GB Pazzo (kulia)
Mboni Masimba (kushoto) na George Binagi-GB Pazzo (kulia)
Mkurugenzi wa Dida Vitenge Wear
Mboni Masimba (kushoto) na mdau wake
Mboni Masimba (kulia) na mdau wake
Mboni Masimba (kulia) na mdau wake
Mboni Masimba (kushoto) na mdau wake
Mboni Masimba (kulia) na mdau wake
Mboni Masimba (kushoto) na mdau wake. 
Hakika Sauti ya Mwanamke ni Sauti ya Jamii, Ipe nafasi kwa Maendeleo.

Tupe maoni yako