![]() |
![]() |
Mwonekano wa ndani Filamu mpya ya Rafael |
PASAKA GOSPEL FESTIVAL 2014 JUMAPILI 20/4/2014 CCM KIRUMBA MWANZA.
WAIMBAJI WA GOSPEL WATAKAOIMBA PASAKA JPILI:
1. BEATRICE WA BSS- KINA DELILA WAPO.
2. SHEIKH JAMAL JOJO- KUKU ZAO WAMEMALIZA
3. LUSEKELO SAMWEL- SIKUZALIWA KWA BAHATI MBAYA.
4. CHAMWENYEWE JEMBE- MFUNGA MIDOMO.
5.JESSICA JULIUS- UTUBEMBELEZE.
NA WAKALI KUTOKA MWANZA.
6.CHRISTINA VICTOR
7. EB BAND NYAKATO
8. PAULO SHOLE
9. REBEKA PIUS
10. AJUAYE ONESMO
11. CAPHLEN JOSEPH
KIINGILIO JUMAPILI YA PASAKA: WAKUBWA 3000/=
WATOTO 1000/=
NA PALE MLANGONI UNAPATA SODA AU MAJI KWA KILA ATAKAEINGIA .
JUMATATU YA PASAKA 21/4/2014
PASAKA GOSPEL FESTIVAL 2014
TAMASHA LA JUMATATU YA PASAKA 21/4/2014 CCM KIRUMBA MWANZA.
KWAYA ZITAKAZOSHINDANA NI:
1. AIC NYAKATO CHOIR- NYAKATO AICT CHURCH
2. PARADISO CHOIR- BAPTIST CHURCH NYAMANORO
3. MLIMA WA UTUKUFU- EAGT ILEMELA CHURCH
4. AIC BUZURUGA CHOIR- BUZURUGA AICT CHURCH
5. NYAKATO MORAVIAN CHOIR- MORAVIAN CHURCH
6. TUMAINI CHOIR- ANGLICAN CHURCH
7. BWIRU VIJANA CHOIR- BWIRU AICT CHURCH
8. TUMAINI CHOIR- KKKT IGOMA CHURCH
9. MWANZA SINGERS CHOIR- EAGT BUZURUGA CHURCH
10 BWIRU VIJANA CHOIR- BWIRU AICT CHURCH.
KIINGILIO JUMATATU YA PASAKA:WAKUBWA 3000/=
WATOTO 1000/=
NA PALE MLANGONI UNAPATA SODA AU MAJI KWA KILA ATAKAEINGIA .
JUMATATU YA PASAKA NI PATASHIKA KATIKA MPAMABANO WA KWAYA ZA JIJI LA MWANZA, NANI KUIBUKA MSHINDI ILI AJITWALIE ZAWADI NONOOOOOO. USIKOSE SIKU HIZO KATIKA MSIMU WA SIKUKUU YA PASAKA CCM KIRUMBA MWANZA.
Tupe maoni yako