Afisa
Mahusiano wa Airtel Tanzania, Jane Matinde (wa pili kushoto) akiongelea
umuhimu wa promosheni ya Mimi ni Bingwa muda mfupi baada ya kukabidhi
shilingi milioni moja kwa baadhi ya washindi wa promosheni hiyo (waliopo
pichani). Kushoto ni Bw. Ramdhani Wefa, Kulia ni Philemon Nathaniel
Mgaya akifuatiwa na Bw. Msemwa Makuzi ambaye pia ni mshindi wa tiketi na
wote wakiwa wanatokea Dar es salaam. |